Judges 3:31

31 aBaada ya Ehudi akaja Shamgari mwana wa Anathi, aliyewapiga Wafilisti 600 kwa fimbo iliyochongoka ya kuongozea ng’ombe. Naye pia akawaokoa Waisraeli.
Copyright information for SwhKC